Haki za Mteja wa Mawasiliano
 • Kupata huduma bora
 • Kupewa taarifa kuhusu huduma au bidhaa
 • Kutobaguliwa
 • Kulalamika
 • Kutatuliwa malalamiko yake
 • Kuhakikishiwa usalama wa bidhaa au huduma
 • Kuwa na faraga na usiri katika matumizi yake
 • Kuelimishwa
 • Kupewa taarifa kabla ya kusimamishwa au kukatisha huduma
 • Kuwakilishwa
 • Kupewa taarifa sahihi ya ankara
 • Kukata rufaa endapo haridhishwi na matumizi
Wajibu wa Mteja wa Mawasiliano

 • Kulipa ankara kwa wakati
 • Kutunza mazingira kwa kutotupa hovyo makasha na na kadi au vifaa vya simu vilivyotuka
 • Kutotambua kasoro katika utoaji huduma
 • Kuunga mkono uthibiti kwa kutoa taarifa
 • Kutunza nyenzo na miundombinu ya Mawasiliano
 • Kutumia huduma halali
 • Kuheshimu uhuru wa watuiaji wengine kwa kutowabugudhi
 • Kuzingatia sheria na kanuni