TAARIFA YA UBORA WA WATOA HUDUMA ZA SIMU ZA MKONONI ARUSHA, DAR ES SALAAM NA MWANZA (JANUARI – MACHI 2016)

Utangulizi

Katika utekelezaji wa taratibu zilizoainishwa katika kanuni za ubora wa huduma za Mawasiliano ya Ki-Elekronik na Posta za mwaka 2011, (Electronic and Postal Communications (Quality of Service) Regulations, 2011) Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imefanya upimaji wa Ubora wa huduma za Mawasiliano (Quality of Service (QoS) tests) kwa huduma za sauti na huduma za kimtandao kulingana na mtazamo wa watumiaji wa huduma hizo ili kuona kiwango cha ubora na uwajibikaji wa watoa huduma za simu za mkononi pamoja na kuhakiki kiwango cha Ubora wa Huduma wanazo toa kwa watumiaji wa huduma za simu za mkononi. Taarifa hii inatolewa baada ya upimaji uliofanyika kuona ubora wa huduma zitolewazo na kampuni ya Airtel (T) Ltd, Kampuni ya Viettel (T) Ltd inayojulikana kama Halotel, Kampuni ya Benson Informatics Ltd, inayojulikana kama SMART, Kampuni ya Millicom International Cellular (T) Ltd, inayojulikana kama Tigo, Vodacom (T) Ltd na Zanzibar Telecom Ltd inayojulikana kama ZANTEL katika majiji ya Arusha, Dar es Salaam na Mwanza tretinoin for acne. Upimaji huo ulifanyika kuanzia tarehe 1 hadi tarehe 12 Februari 2016 na kuanzia tarehe 7 hadi tarehe 11 Machi 2016.

Ukaguzi huo ulifanyika katika mifumo ya teknolojia ya 2G and 3G. Kampuni ya SMART inatoa huduma zake kwa kutumia mfumo wa teknolojia aina ya 2G pekee katika Jiji la Dar es Salaam. Soma taarifa yote hapa.

Contact Details

20 Sam Nujoma Road
+255 22 2199760-8 More +

Staff Mail

isotext

Connect with us

Useful Links

  • used jeep for sale canada