MAELEZO YA KAIMU MKURUGENZI MKUU, MAMLAKA YA MAWASILIANO TANZANIA, ENG. JAMES KILABA KUHUSU UAMUZI KUHUSU UKIUKWAJI WA MASHARTI YA USAJILI WA NAMBA/LAINI ZA SIMU ZA MKONONI

Ndugu Waandishi wa Habari,

Tumewaita hapa leo ili kutoa uamuzi kuhusu mashauri ya ukiukwaji wa masharti ya usajili wa namba/laini za simu za mkononi uliofanywa na makampuni ya simu za mkononi.

Makampuni hayo ni:

  1. Airtel Tanzania Limited,
  2. Benson Informatics Limited ambayo inatumia jina la biashara la SMART,
  3. MIC Tanzania Limited ambayo inatumia jina la biashara la TIGO,
  4. Viettel Tanzania Limited ambayo inatumia jina la biashara la Halotel,
  5. Vodacom Tanzania Limited,
  6. Zanzibar Telecom Limited ambayo inatumia jina la biashara la Zantel.

Makampuni hayo yamekiuka masharti ya usajili wa laini na matumizi ya laini kama yalivyoaninishwa kwenye Sheria ya Mawasiliano ya Kielektroniki na Posta (EPOCA) ya 2010 na Kanuni za Mawasiliano ya Kielektroniki na Posta za Leseni za 2011. Soma taarifa nzima hapa

Contact Details

20 Sam Nujoma Road
+255 22 2199760-8 More +

Staff Mail

isotext

Connect with us

Useful Links

  • used jeep for sale canada