JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

MAMLAKA YA MAWASILIANO TANZANIA

TAASISI YENYE VIWANGO VYA ISO 9001: 2015

Maombi yatatathminiwa kwa msingi wa vigezo vilivyotajwa kulingana na uzito

  1. Mpango wa Kiufundi na Kasi ya Uanzishaji
           A. Aina ya Teknolojia Iliyochaguliwa
           B. Uanzishaji wa Mtandao
                     I. Eneo na watu watakaohudumiwa
                     II. Uwezo wa Mawasiliano (GoS)
                    III. Ubora wa Huduma za Mtandao (QoS)
                    IV. Mpango wa Uundaji wa Mtandao
                     V. Mahitaji ya Masafa ya Redio
           C.
    Sifa za Mtandao
                      I. Usanifu Majengo wa Mtandao
                     II. Vitu na huduma zinazotolewa
           D. Mpango na Uboreshaji wa Mtandao
           E. Mkakati wa Uendeshaji na Uendelezaji wa Mtandao
                     I. Mafunzo na shughuli za wafanyakazi
                    II. Vipuri, Vifaa na Usambazaji wa programu ya kompyuta
           F. Mpango wa Mfumo wa Taarifa
          G. Njia za Ulipaji wa Bill
  2. Mpango wa Masoko
           I. Huduma itakayotolewa
          II. Makadirio ya Idadi ya Wateja
         III. Mkakati wa Huduma kwa Mteja
  3. Mpango wa Fedha​​​​​​​
          I. Taarifa ya Uendeshaji wa Bajeti
         II. Waraka Mizania Uliowekewa Bajeti
        III. Mapato Yaliyowekewa Bajeti
  4. Mpango wa Uwekezaji
          I. Mkakati wa Fedha wa Mradi
         II. Uwiano wa Mtaji wa Uwekezaji (Hisa: Deni)
        III. Mkakati wa Maendeleo ya Rasilimali Watu
  5. Wasifu wa Kampuni
         I. Uandikishwaji wa Kampuni
        II. Kampuni zenye Hisa au wajumbe wa Bodi
       III. Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni
      IV. Benki za kampuni
       V. Wakaguzi na tarehe ya mwisho ya Mahesabu Yaliyokaguliwa
  6. Uwekezaji wa Ndani
        I. Asilimia za Uwekezaji wa Ndani
  7. Ufuatiliaji wa Kumbukumbu na Uzoefu
        I. Uwekezaji katika Mawasiliano ya Kielektroniki katika nchi nyingine
       II. Umahiri wa wafanyakazi
  8. Ratiba ya Programu​​​​​​​​​​
       I. Ubora na aina
      II. Manufaa kwa tasnia ya utangazaji ya ndani
      III. Manufaa kwa uchumi wa ndani
      IV. Upanuzi wa uchaguzi wa programu
      V. Matokeo ya manufaa ya jumla katika maendeleo ya tasnia ya utangazaji
Je, una Maswali yoyote juu ya Sekta ya Mawasiliano?
Tuma Mrejesho na Malalamiko!

Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imejidhatiti kutoa huduma bora kwa wateja na wadau wake wote.

Tuma Mrejesho na Malalamiko!