Taarifa Kwa Umma: Kuongezwa kwa Muda wa Kutuma Maombi Mapya na Upandishaji Daraja Wa Leseni za Maudhui (Utangazaji wa Kibiashara – Redio) Kutoka Tarehe 12 Novemba 2022 mpaka Tarehe 21 Novemba 2022
![Taarifa Kwa Umma: Kuongezwa kwa Muda wa Kutuma Maombi Mapya...](https://tcra.go.tz/uploads/news/21a381983c5c2e0b867788ac3f88c50f.jpeg)
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imejidhatiti kutoa huduma bora kwa wateja na wadau wake wote.