[{"data":1,"prerenderedAt":-1},["ShallowReactive",2],{"news-detail-en-mpango-wa-unafuu-wa-gharama-za-simu-eac-wazaa-matunda":3,"news-neighbors-en-mpango-wa-unafuu-wa-gharama-za-simu-eac-wazaa-matunda":130,"related-news-sidebar":143},{"id":4,"documentId":5,"title":6,"slug":7,"introduction":8,"content":9,"publishedDate":81,"readingTime":82,"createdAt":83,"updatedAt":84,"publishedAt":85,"locale":86,"localizations":87,"cover":92},77,"jv7zpujbdd96l5gacb5n7of5","Mpango wa Unafuu wa Gharama za Simu EAC Wazaa Matunda","mpango-wa-unafuu-wa-gharama-za-simu-eac-wazaa-matunda","Na mwandishi wetu GHARAMA za maongezi kwa simu kutoka Tanzania kwenda nchi nyingine Afrika Mashariki zilishuka kwa asilimia 61 kati ya Aprili na Juni 2025 kufuatia utekelezaji wa makubaliano ya pamoja kupunguza gharama za simu kwa watumiaji wanaotembelea mojawapo ya nchi hizo, taarifa zimethibitisha. Ripoti ya hali ya…",[10,17,21,25,29,33,37,41,45,49,53,57,61,65,69,73,77],{"type":11,"children":12},"paragraph",[13],{"bold":14,"text":15,"type":16,"italic":14},true,"Na mwandishi wetu","text",{"type":11,"children":18},[19],{"text":20,"type":16},"GHARAMA za maongezi kwa simu kutoka Tanzania kwenda nchi nyingine Afrika Mashariki zilishuka kwa asilimia 61 kati ya Aprili na Juni 2025 kufuatia utekelezaji wa makubaliano ya pamoja kupunguza gharama za simu kwa watumiaji wanaotembelea mojawapo ya nchi hizo, taarifa zimethibitisha. ",{"type":11,"children":22},[23],{"text":24,"type":16},"Ripoti ya hali ya mawasiliano Tanzania katika robo mwaka ya Aprili hadi Juni mwaka huu inaonesha kuwa wastani wa gharama za siku kwenda nchi nyingine wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) zilipungua kutola shilingi 627.80 kwa dakika Machi hadi 247.52 Juni mwaka huu.",{"type":11,"children":26},[27],{"text":28,"type":16},"Ripoti hiyo, iliyotolewa na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Dkt Jabiri Bakari inaeleza kuwa dakika za maongezi ya simu kutoka Tanzania kwenda nchi nyingine EAC zimeongezeka kutoka 9,097,165 robo mwaka ya Aprili-Juni 2021 hadi 156,913,941 Aprili-Juni 2025.",{"type":11,"children":30},[31],{"text":32,"type":16},"Kwa simu za humu nchini, wastani wa bei za kupiga simu (bila kifurushi) haujabadilika tangu Juni mwaka jana. Umebakia shilingi 26 kwa simu kwenye mtandao wa mtumiaji (on-net) na shilingi 28 kwenda mtandao mwingine (off-net).",{"type":11,"children":34},[35],{"text":36,"type":16},"Meseji (SMS) za ndani zinatozwa shilingi 7.80 na za kwenda nje shilingi 189.60 kwenye mitandao yote. Bei za data zimebakia shilingi 9.35 kwa megabaiti (MB). ",{"type":11,"children":38},[39],{"text":40,"type":16},"MB ni kipimo cha ukubwa wa data kwenye matumizi ya kompyuta, ambamo kila herufi, namba, alama ni baiti moja. Zikiwa 100 ni kilobaiti (KB) na elfu ni megabaiti (MB). ",{"type":11,"children":42},[43],{"text":44,"type":16},"Uchambuzi wa ripoti ya TCRA unabainisha kuwa wastani wa gharama za kupiga simu unatokana na gharama ndogo za mtoa huduma mmoja anayetoza chini ya wastani kwa kiasi kikubwa. Halotel wanatoza shilingi 10 kwa maongezi kwenye mtandao wao, shilingi 20 kwenda mitandao mingine na shilingi tano (5) kwa SMS.",{"type":11,"children":46},[47],{"text":48,"type":16}," Airtel, Yas, TTCL na Vodacom wanatoza shilingi 30 kwa maongezi ndani na nje ya mitandao na shilingi nane (8) kwa meseji.",{"type":11,"children":50},[51],{"text":52,"type":16},"Gharama za kupiga simu bila kifurushi zilipungua kwa asilimia 21 kati ya Juni 2021 na Juni mwaka huu – kutoka shilingi 34 kwa dakika ndani na nje ya mitandao. Bei za SMS za ndani zimepungua kwa asilimia 67 – kutoka shilingi 13 hadi zinazotozwa sasa. ",{"type":11,"children":54},[55],{"text":56,"type":16},"Kwa upande wa vifurushi, gharama za simu ndani ya mtandao zimebakia shilingi 4.80 tangu Septemba 2024 wakati nje ya mtandao zimeshuka kutoka shilingi 6.07 kwa dakika machi 2025 hadi 5.96 Juni mwaka huu. Vifurushi vya data vinatozwa shilingi 2.12 kwa MB na SMS za ndani shilingi 2.12. ",{"type":11,"children":58},[59],{"text":60,"type":16},"Gharama za vifurushi vya maongezi zilishuka kwa asilimia 71 kati ya Juni 2021 na Juni mwaka huu – kutoka wastani shilingi 8.3 kwa dakika kwenye mitandaoi yote hadi zinazotozwa sasa. Bei za vifurushi vya data zilikuwa shilingi 1.61 kwa MB mwaka 2021, zikaongezeka hadi 2.17 na kubakia 2.12 kuanzia Machi mwaka huu. ",{"type":11,"children":62},[63],{"text":64,"type":16},"Ripoti inasema wateja wa mitandao ya simu za mkkononi walitumia dakika bilioni 43.3 kwenmye robi mwaka ya Aprili hadi Juni mwaka huu, kutoka bilioni 40.6 billion robo mwaka iliyoishia Machi mwaka huu.",{"type":11,"children":66},[67],{"text":68,"type":16},"Wakati huo huo, simu zenye uwezo mkubwa, maarufu kama simu janja, zimeenea kwa asilimia 37 miongoni mwa watu. Hii inawezesha watumiaji wengi kutumia huduma zinazotokana na teknolojia za kisasa na za uzao wa mbele wa mawasiliano kupitia vifaa vya mkononi. ",{"type":11,"children":70},[71],{"text":72,"type":16},"Taarifa hiyo imesema ueneaji wa teknolojia za uzao wa tatu (3G) na wa nne (4G) uliongezeka kwa kati ya asilimia 11 na tano kati ya Juni 2024 na Juni mwaka huu. Kuenea kijiografia nchini kuliongezeka kwa asilimia 8.7 katiya Juni 2024 na Juni 2025.",{"type":11,"children":74},[75],{"text":76,"type":16},"Uzao wa tatu umeenea miongoni mwa watu asilimia 93.4 ya watu, kutoka 89 na uzao wa nne asilimia 92 kutoka 83 kipindi hicho. Kuenea 3G kijiografia ni asilimia 75, kutoka 73 na 4G asilimia 75, kutoka 69. ",{"type":11,"children":78},[79],{"text":80,"type":16},"Uzao wa 5G ulienea kwa kwa asilimia 5.9 miongoni kwa watu kufikia Juni 2025 kutoka asilimia 2 Juni mwaka jana na asilimia 3.6 ya watu Machi mwaka huu. Teknolojia hiyo imefika asilimia 26 ya eneo la Tanzania, kutoka asilimia 15 Juni 2024 na 23 Machi mwaka huu.","2025-08-10",3.15,"2025-08-10T19:17:58.000Z","2025-08-10T19:30:15.000Z","2026-06-02T23:39:48.590Z","en",[88],{"id":89,"documentId":5,"slug":90,"locale":91},78,"mpango-wa-unafuu-wa-gharama-za-simu-eac-wazaa-matunda-sw","sw",{"id":93,"documentId":94,"url":95,"alternativeText":96,"formats":97,"width":128,"height":129},30,"wibufezrqmltlwewg0gshf0f","https://www.tcra.go.tz/tcra-tovuti/2025/mamlaka-website/news/covers/558fd3e48df170784f737d5db14ad8ce_d074daffd9.jpeg",null,{"small":98,"medium":110,"thumbnail":119},{"ext":99,"url":100,"etag":101,"hash":102,"mime":103,"name":104,"path":105,"size":106,"width":107,"height":108,"sizeInBytes":109},".jpeg","https://www.tcra.go.tz/tcra-tovuti/2025/mamlaka-website/news/covers/small_558fd3e48df170784f737d5db14ad8ce_d074daffd9.jpeg","1474e2e69d437998a9ff1e2086d3a7cd","small_558fd3e48df170784f737d5db14ad8ce_d074daffd9","image/jpeg","small_558fd3e48df170784f737d5db14ad8ce.jpeg","2025/mamlaka-website/news/covers",29.48,500,281,29479,{"ext":99,"url":111,"etag":112,"hash":113,"mime":103,"name":114,"path":105,"size":115,"width":116,"height":117,"sizeInBytes":118},"https://www.tcra.go.tz/tcra-tovuti/2025/mamlaka-website/news/covers/medium_558fd3e48df170784f737d5db14ad8ce_d074daffd9.jpeg","38d9c5b00e0116fe867d7bacd47695ed","medium_558fd3e48df170784f737d5db14ad8ce_d074daffd9","medium_558fd3e48df170784f737d5db14ad8ce.jpeg",57.48,750,422,57475,{"ext":99,"url":120,"etag":121,"hash":122,"mime":103,"name":123,"path":105,"size":124,"width":125,"height":126,"sizeInBytes":127},"https://www.tcra.go.tz/tcra-tovuti/2025/mamlaka-website/news/covers/thumbnail_558fd3e48df170784f737d5db14ad8ce_d074daffd9.jpeg","cb59eb6c92502edf4fd1ed33f334258e","thumbnail_558fd3e48df170784f737d5db14ad8ce_d074daffd9","thumbnail_558fd3e48df170784f737d5db14ad8ce.jpeg",8.45,245,138,8450,882,496,{"prev":131,"next":137},{"id":132,"documentId":133,"title":134,"slug":135,"createdAt":136},71,"izb2orhoa5pdt5jaj67opblm","Harmonized EAC Roaming Plan Pays","harmonized-eac-roaming-plan-pays","2025-08-17T06:04:26.000Z",{"id":138,"documentId":139,"title":140,"slug":141,"createdAt":142},83,"hta058mfr9eh2kr3sukdp0pm","KAMPENI YA “FUTA DELETE KABISA” YAZINDULIWA KUTOKOMEZA UPOTOSHAJI MTANDAONI!","kampeni-ya-futa-delete-kabisa-yazinduliwa-kutokomeza-upotoshaji-mtandaoni","2025-08-05T19:44:15.000Z",[144,261,378,473,576,635,661],{"id":145,"documentId":146,"title":147,"slug":148,"introduction":149,"content":150,"publishedDate":210,"readingTime":211,"createdAt":212,"updatedAt":213,"publishedAt":214,"locale":86,"cover":215},1687,"e1hv3w2i3xqhluv9onsmxwb5","WADAU RUKWA WATAKA TCRA KUSHIRIKIANA NA WATOA HUDUMA ZA MITANDAO KUKABILI UTAPELI WA KIMTANDAO","wadau-rukwa-wataka-tcra-kushirikiana-na-watoa-huduma-za-mitandao-kukabili-utapeli-wa-kimtandao","Wadau mbalimbali mkoani Rukwa wamekutana katika mkutano maalum uliojadili changamoto ya utapeli wa kimtandao uliopo mkoani humo, huku wakitoa mapendekezo kadhaa yenye lengo la kudhibiti vitendo hivyo vinavyoleta athari kwa wananchi kiuchumi na kijamii.",[151,155,158,162,166,170,174,178,182,186,190,194,198,202,206],{"type":11,"children":152},[153],{"text":154,"type":16},"Sumbawanga",{"type":11,"children":156},[157],{"text":149,"type":16},{"type":11,"children":159},[160],{"text":161,"type":16},"Miongoni mwa mapendekezo yaliyotolewa na washiriki wa mkutano huo ni kuwa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kukaa na makampuni ya watoa huduma za mawasiliano ya simu na intaneti ili kuangalia namna bora ya kuimarisha zoezi la usajili wa laini za simu ambao ndio limekuwa chanzo kikubwa cha uwepo wa laini zinazotumika kwaajili ya utapeli mtandaoni.",{"type":11,"children":163},[164],{"text":165,"type":16},"Akifungua mkutano huo Mkuu wa Wilaya ya Nkasi Mheshimiwa Peter Lijualikali ameitaka TCRA kuongeza ufuatiliaji wa masuala ya utapeli wa kimtandao kutokana na kukithiri kwa vitendo hivyo hasa kwa mkoa wa Rukwa. Pia ameiasa jamii kujenga utamaduni wa kuuliza, kuhakiki na kuripoti matukio ya uhalifu kwa vyombo vya ulinzi na usalama ili hatua mahususi zichukuliwe haraka.",{"type":11,"children":167},[168],{"text":169,"type":16},"Awali Mkurugenzi Mkuu wa TCRA Mhandisi Peter Mwasalyanda amesema Kwa mujibu wa ripoti ya hali ya sekta ya mwasiliano nchini inayoishia Juni 2026 inaonesha kuwa mkoa wa Rukwa na mataukio 2495 (sawa na asilimia 34 ya matukio yote nchi nzima) na mkoa Morogoro ukiwa una matukio ya ulaghai yaliyoripotiwa 2129 (sawa na asilimia 29 ya matukio yote nchi nzima). Kwa mkoa wa Rukwa wilaya inayoongoza kwa matukio ya utapeli ni Sumbawanga ikiwa na matukio 1,330, ikifuatiwa na wilaya ya Kalambo yenye matukio 612 na mwisho ni Nkasi yenye matukio yaliyoripotiwa 553.",{"type":11,"children":171},[172],{"text":173,"type":16},"“TCRA imekuwa ikitoa hizi taarifa za takwimu ili wadau wanaohusika na Masuala ya Uhalifu pamoja na watoa huduma waweze kutambua maeneo yanayopaswa kupewa kipaumbele na kuyafanyia kazi” Mkurugenzi Mkuu TCRA.",{"type":11,"children":175},[176],{"text":177,"type":16},"Wawakilishi kutoka kamati ya maadili ya mkoa wa Rukwa walipendekeza kuwepo kwa muda wa saa 24 kabla ya mtu kuruhusiwa kusajili laini nyingine ya simu huku pia wakilitaka Bunge kutunga sheria itakayoweka wazi adhabu kwa watu wanaojihusisha na utapeli wa kimtandao.",{"type":11,"children":179},[180],{"text":181,"type":16},"Kwa upande wao viongozi wa dini walisisitiza umuhimu wa malezi bora kwa jamii ili kuwa na vijana wanaojiepusha na shughuli zisizo halali huku wakiliomba jeshi la polisi pamoja na TCRA kuweka wazi taarifa za matapeli na kutoa mrejesho kwa wananchi wanaporipoti matukio ya utapeli. Walieleza kuwa upatikanaji wa taarifa za watapeli kwa wakati unaweza kusaidia kupunguza kasi ya vitendo hivyo.",{"type":11,"children":183},[184],{"text":185,"type":16},"Akizungumza wakati wa mkutano huo Meneja wa Ufuatiliaji na Utekelezaji TCRA Mhandisi Mwesiga Barongo alisema hatua zilizochukuliwa na TCRA katika kukabiliana na utapeli mtandaoni ni pamoja na kuweka utaratibu wa usajili wa laini kwa njia ya biometriki inayosaidia kumtambua mtu anayesajili laini ya simu, Kufungia namba ya simu, IMEI na kitambulisho cha taifa – kwa laini zinazobainika kuhusika na utapeli, kuweka Muda wa dakika 30 kabla ya usajili mwingine wa laini ya simu ili kudhibiti udanganyifu na pia kuwapa nafasi wale wenye nia njema ya kusajili laini kwa matumizi binafsi.",{"type":11,"children":187},[188],{"text":189,"type":16},"Hatua nyingine ni Kushirikiana na watoa huduma kuboresha taratibu za usajili wa laini za simu na kuendesha Kampeni za elimu kwa umma ili kuhamasisha jamii kuhusu kuripoti na kujilinda dhidi ya utapeli wa kimtandao.",{"type":11,"children":191},[192],{"text":193,"type":16},"Kwa upande wake, Jeshi la Polisi lilieleza kuwa ingawa sheria zipo, bado kuna umuhimu mkubwa wa kushirikisha jamii katika mapambano dhidi ya utapeli wa kimtandao, hii ikiwa ndiyo sababu ya kuendelea kutoa elimu kwa umma. Ilielezwa kuwa kuna takribani sheria tano zinazosimamia masuala ya mawasiliano na uhalifu wa kimtandao nchini, na kwamba kwa kushirikiana, jamii inaweza kutokomeza tatizo hili.",{"type":11,"children":195},[196],{"text":197,"type":16},"Mkuu wa Jeshi la Polisi Rukwa SACP Shadrck Masija aliwataka wananchi kuripoti mara moja endapo watapoteza mali zao, ikiwemo laini za simu na simu, ili kujiepusha na usumbufu endapo vifaa hivyo vitaingia mikononi mwa matapeli. Amehimiza wananchi kuepuka kununua simu kutoka kwa watu wasiojulikana bila kujiridhisha chanzo cha simu hiyo, kwani inaweza kuwa imetumika kutekeleza uhalifu — jambo linaloweza kuwaingiza wananchi wasio na hatia katika matatizo ya kisheria.",{"type":11,"children":199},[200],{"text":201,"type":16},"Jeshi hilo pia lilieleza umuhimu wa kuwajengea uwezo viongozi wa kata na serikali za mitaa ili kuwa na uelewa wa kutosha kuhusu masuala ya utapeli, ikiwemo umuhimu wa kutoa ushahidi mahakamani, jambo ambalo baadhi ya wananchi bado wanaliogopa licha ya umuhimu wake.",{"type":11,"children":203},[204],{"text":205,"type":16},"\"Tushirikiane kutoa taarifa za haraka pindi tunapobaini vitendo vya utapeli, na kuendelea kutoa elimu kwa umma\" SACP Shadrack Masija.",{"type":11,"children":207},[208],{"text":209,"type":16},"Washiriki wa mkutano walisisitiza kuwa elimu kuhusu utapeli wa kimtandao inapaswa kuwafikia wananchi wote, hususan wale walioko vijijini, ili kuhakikisha kila mwananchi anakuwa na uelewa wa kutosha kujilinda dhidi ya vitendo hivyo vinavyoendelea kuathiri jamii kiuchumi na kijamii.","2026-09-10",3.59,"2026-09-10T14:02:28.609Z","2026-09-10T14:02:30.559Z","2026-09-10T14:02:30.602Z",{"id":216,"documentId":217,"url":218,"alternativeText":96,"formats":219,"width":259,"height":260},1955,"i7rhgvggovose235wlzkkyh6","https://www.tcra.go.tz/tcra-tovuti/2026/mamlaka-website/news/covers/21212_d51c93d6bf.jpeg",{"large":220,"small":231,"medium":240,"thumbnail":249},{"ext":99,"url":221,"etag":222,"hash":223,"mime":103,"name":224,"path":225,"size":226,"width":227,"height":228,"sizeInBytes":229,"provider_metadata":230},"https://www.tcra.go.tz/tcra-tovuti/2026/mamlaka-website/news/covers/large_21212_d51c93d6bf.jpeg","7365f4b0ab366baf65892660cb54a345","large_21212_d51c93d6bf","large_21212.jpeg","2026/mamlaka-website/news/covers",83.32,1000,692,83323,{"s3Path":225},{"ext":99,"url":232,"etag":233,"hash":234,"mime":103,"name":235,"path":225,"size":236,"width":107,"height":237,"sizeInBytes":238,"provider_metadata":239},"https://www.tcra.go.tz/tcra-tovuti/2026/mamlaka-website/news/covers/small_21212_d51c93d6bf.jpeg","bdaff2446e2349049e7db6c69eb04795","small_21212_d51c93d6bf","small_21212.jpeg",28.03,346,28032,{"s3Path":225},{"ext":99,"url":241,"etag":242,"hash":243,"mime":103,"name":244,"path":225,"size":245,"width":116,"height":246,"sizeInBytes":247,"provider_metadata":248},"https://www.tcra.go.tz/tcra-tovuti/2026/mamlaka-website/news/covers/medium_21212_d51c93d6bf.jpeg","d3f466b2909911e62da0ef91e42258b8","medium_21212_d51c93d6bf","medium_21212.jpeg",52.06,519,52061,{"s3Path":225},{"ext":99,"url":250,"etag":251,"hash":252,"mime":103,"name":253,"path":225,"size":254,"width":255,"height":256,"sizeInBytes":257,"provider_metadata":258},"https://www.tcra.go.tz/tcra-tovuti/2026/mamlaka-website/news/covers/thumbnail_21212_d51c93d6bf.jpeg","acda4c5a3c74e6c38c9f9c5bdf9735fe","thumbnail_21212_d51c93d6bf","thumbnail_21212.jpeg",8.77,226,156,8772,{"s3Path":225},5634,3899,{"id":262,"documentId":263,"title":264,"slug":265,"introduction":266,"content":267,"publishedDate":335,"readingTime":336,"createdAt":337,"updatedAt":338,"publishedAt":339,"locale":86,"cover":340},1680,"pikr51yrdpmbttwlxxfsqljf","TCRA Ups Support for Mathematics, Digital Clubs","tcra-ups-support-for-mathematics-digital-clubs-2","THE TANZANIA Communications Regulatory Authority (TCRA) has intensified its support for national initiatives that promote information and communications technologies (ICT) and science and mathematics.",[268,272,275,279,283,287,291,295,299,303,307,311,315,319,323,327,331],{"type":11,"children":269},[270],{"text":271,"type":16},"By Correspondent",{"type":11,"children":273},[274],{"text":266,"type":16},{"type":11,"children":276},[277],{"text":278,"type":16},"TCRA Director General, Eng. Peter Mwasalyanda said at the weekend that the Government through TCRA has established a total of 800 digital clubs throughout the country and Tanzanian students have been excelling in international mathematics competitions.",{"type":11,"children":280},[281],{"text":282,"type":16},"He said in boost of Government drive towards building a digital literate Country, TCRA sponsors Tanzania’s participation in continental and global secondary school mathematics competitions and digital clubs in schools. The Authority also supports the Tanzania Mathematical Association (TMA/CHAHITA), which coordinates the events. ",{"type":11,"children":284},[285],{"text":286,"type":16},"Eng. Mwasalyanda congratulated six students for successfully parading the National Flag at International level through their exemplary performance at the 2026 Pan African Mathematics Olympiad (PAMO) in Yamoussoukro, Ivory Coast last month, and the recent International Mathematics Olympiads in Shanghai, China.",{"type":11,"children":288},[289],{"text":290,"type":16},"Speaking on arrival at the Julius Nyerere International Airport in  Dar Es Salaam yesterday, the Chairman of Mathematical Association of Tanzania Dr. Saidi Sima said that Tanzania’s participants at the Shanghai competition earned additional points, raising the country’s global ranking. They got 22 points compared with last year's 14.",{"type":11,"children":292},[293],{"text":294,"type":16},"Dr Sima who is also a lecturer at the University of Dar es Salaam said that a scholar, Ms Lightness Pigiliano Ngiliule of St Francis Secondary School has been awarded a medal as Africa’s Mathematics Queen. She won this title in Yamoussoukro. ",{"type":11,"children":296},[297],{"text":298,"type":16},"Lightness was among six Tanzanian students who also participated in this year's  PAMO. They are Angel Margaret Zalwango of White Lake Secondary School, Sweetbert John Nene of Ilboru, Nyandahu Theophil Leonard of Kibaha,  Joyce Pascali Sulumo of Kilakala and Arqam Yassir Salim of Rehema Wakfu School.",{"type":11,"children":300},[301],{"text":302,"type":16},"Dr. sima expressed gratitude thanking TCRA for continuous support, saying a total of 9 medals were scooped and brought home, when Six Tanzanian secondary school students competed and won at PAMO Yamoussoukro, Ivory Coast last month, where the country emerged fifth among 26 competing countries. Three boys won a medal each while three girls grabbed two each in the general category. The girls won additional medals in the Girls category.",{"type":11,"children":304},[305],{"text":306,"type":16},"Science and Mathematics are crucial building blocks of a digital economy. When grouped with technology and engineering, these are referred to as STEM subjects. ",{"type":11,"children":308},[309],{"text":310,"type":16},"STEM benefits nations and individual students. Besides facilitating a digital economy, these subjects equip students with knowledge and skills to build careers in the ever-changing ICT environment where technological advances will eliminate many existing jobs within a few years.",{"type":11,"children":312},[313],{"text":314,"type":16},"According to the TCRA Director General Eng. Mwasalyanda, TCRA promotes establishment of The digital clubs, right-away from nursery school to university levels, are intended to empower students to grasp digital technologies and their practical applications from a formative age. They cultivate digital skills and encourage the adoption of digital technology and culture across various sectors.",{"type":11,"children":316},[317],{"text":318,"type":16},"The clubs will enable youths to engage in ICT and communications issues; activities may include debates and competitions on various themes. ",{"type":11,"children":320},[321],{"text":322,"type":16},"Tanzania’s Digital Economy Strategic Framework (2024-2034) reiterates the need to raise awareness of STEM from lower education levels. It urges stakeholders to promote digital literacy and skills as key enablers of a digital economy. ",{"type":11,"children":324},[325],{"text":326,"type":16},"“It is essential to integrate digital literacy and critical thinking skills into the standard educational curriculum from lower educational levels, covering digital content like coding, data analysis, digital citizenship, and media literacy.”, the framework emphasizes. ",{"type":11,"children":328},[329],{"text":330,"type":16},"Education experts estimate that only 25 per cent of students in most African countries pursue STEM-related career fields in higher education. ",{"type":11,"children":332},[333],{"text":334,"type":16},"Barriers include inadequate facilities, fewer teachers and misconceptions about STEM difficulties.  Most schools lack facilities for practicals, including equipped laboratories.","2026-08-04",3.01,"2026-08-04T10:53:32.588Z","2026-08-04T10:53:34.869Z","2026-08-04T10:53:34.897Z",{"id":341,"documentId":342,"url":343,"alternativeText":96,"formats":344,"width":376,"height":377},1939,"gfw6xjv9ssaqdzhfalwx1km8","https://www.tcra.go.tz/tcra-tovuti/2026/mamlaka-website/news/covers/31072026_Wanafunzi_Washindi_b1a5da2983.jpeg",{"large":345,"small":353,"medium":361,"thumbnail":368},{"ext":99,"url":346,"etag":347,"hash":348,"mime":103,"name":349,"path":225,"size":350,"width":227,"height":351,"sizeInBytes":352},"https://www.tcra.go.tz/tcra-tovuti/2026/mamlaka-website/news/covers/large_31072026_Wanafunzi_Washindi_b1a5da2983.jpeg","67223dc55a45ae58539904f6a9902414","large_31072026_Wanafunzi_Washindi_b1a5da2983","large_31072026_Wanafunzi Washindi.jpeg",126.26,667,126259,{"ext":99,"url":354,"etag":355,"hash":356,"mime":103,"name":357,"path":225,"size":358,"width":107,"height":359,"sizeInBytes":360},"https://www.tcra.go.tz/tcra-tovuti/2026/mamlaka-website/news/covers/small_31072026_Wanafunzi_Washindi_b1a5da2983.jpeg","78a4e61b89ee75f97afeca3852fb28e5","small_31072026_Wanafunzi_Washindi_b1a5da2983","small_31072026_Wanafunzi Washindi.jpeg",41.36,333,41363,{"ext":99,"url":362,"etag":363,"hash":364,"mime":103,"name":365,"path":225,"size":366,"width":116,"height":107,"sizeInBytes":367},"https://www.tcra.go.tz/tcra-tovuti/2026/mamlaka-website/news/covers/medium_31072026_Wanafunzi_Washindi_b1a5da2983.jpeg","3efabd64e7c1e575e087aa8293c9bbca","medium_31072026_Wanafunzi_Washindi_b1a5da2983","medium_31072026_Wanafunzi Washindi.jpeg",79.78,79776,{"ext":99,"url":369,"etag":370,"hash":371,"mime":103,"name":372,"path":225,"size":373,"width":374,"height":256,"sizeInBytes":375},"https://www.tcra.go.tz/tcra-tovuti/2026/mamlaka-website/news/covers/thumbnail_31072026_Wanafunzi_Washindi_b1a5da2983.jpeg","b14b518d77cd7f314be2f194fa09c72b","thumbnail_31072026_Wanafunzi_Washindi_b1a5da2983","thumbnail_31072026_Wanafunzi Washindi.jpeg",11.64,234,11639,1080,720,{"id":379,"documentId":380,"title":381,"slug":382,"introduction":383,"content":384,"publishedDate":433,"readingTime":434,"createdAt":435,"updatedAt":435,"publishedAt":436,"locale":86,"cover":437},5,"edl3qo0l51q5gm32s0t4skda","TCRA yahimiza Kujilinda Mtandaoni kwa Kutumia namba Fupi","tcra-yahimiza-kujilinda-mtandaoni-kwa-kutumia-namba-fupi","MAMLAKA ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imehimiza Wananchi, nchi nzima kujilinda na matapeli na wahalifu mtandaoni kwa kutumia namba fupi ambazo Mamlaka hiyo imetengeza ili kuripoti matukio ya kihalifu na kujilinda. Mkurugenzi Mkuu wa TCRA, Dkt Jabiri Bakari ametanabaisha hayo wakati wa mahojiano maalum jijini Dar Es S…",[385,389,393,397,401,405,409,413,417,421,425,429],{"type":11,"children":386},[387],{"text":388,"type":16},"MAMLAKA ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imehimiza Wananchi, nchi nzima kujilinda na matapeli na wahalifu mtandaoni kwa kutumia namba fupi ambazo Mamlaka hiyo imetengeza ili kuripoti matukio ya kihalifu na kujilinda.",{"type":11,"children":390},[391],{"text":392,"type":16},"Mkurugenzi Mkuu wa TCRA, Dkt Jabiri Bakari ametanabaisha hayo wakati wa mahojiano maalum jijini Dar Es Salaam jana akisema kwa Taasisi hiyo ipo kwenye jukumu la kueneza elimu kwa watumiaji na umma kuhusu namna bora ya kujilinda na wahalifu wanapo endelea kunufaika na fursa zitokanazo na mitandao.",{"type":11,"children":394},[395],{"text":396,"type":16},"Dkt. Jabiri amebainisha kwamba Maendeleo ya teknolojia ya habari na mawasiliano na kuenea kwa huduma zilizowezeshwa kwa mifumo ya Kidijiti vimeongeza kasi ya maendeleo na ufanisi katika upatikanaji wa huduma kwahiyo ulinzi kwa watumiaji ni jambo la msingi. ",{"type":11,"children":398},[399],{"text":400,"type":16},"Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) ni msingi mkuu wa mfumo wezeshi kwende sekta zote, ikiwemo huduma za Kiposta na Uasifirishaji wa vifulushio na vipeto, Utangazaji, huduma za simu na intaneti yakiwemo maeneo mengine pamoja na kilimo, utalii, fedha, elimu, matibabu, usafiri na usafirishaji na uchimbaji madini.",{"type":11,"children":402},[403],{"text":404,"type":16},"TCRA imewakumbusha watumiaji wanaopigiwa simu au kutumiwa meseji zozote zinazoashiria utapeli kutuma namba hiyo ya tapeli kwa ujumbe mfupi (SMS) kwenda namba 15040 BURE ambayo ni ya bure ili namba ya tapeli ifungiwe.",{"type":11,"children":406},[407],{"text":408,"type":16},"Aidha, amekumbusha kwamba watumiaji wasikubali kutii maelekezo yeyote kutoka kwa mtu aliyewapigia na namba ya simu binafsi na kujitambulisha kuwa ni Mtoa Huduma wa mtandao. Watumiaji wamekumbushwa kuwa namba ya huduma kwa wateja ni 100 pekee. ",{"type":11,"children":410},[411],{"text":412,"type":16},"Watumiaji pia wanakumbushwa kutokujibu ujumbe kwa njia ya simu au barua pepe unaowataarifu kuwa wameshinda bahati nasibu wakati hawajashiriki kwenye mchezo wowote wa aina hiyo. Wanaelekezwa kuufuta.",{"type":11,"children":414},[415],{"text":416,"type":16},"Kampeni hiyo pia inaeleza namna ya kuhakiki idadi ya laini za simu zilizosajiliwa kibaometria kwa namba ya kitambulisho cha cha taifa cha mtumiaji kwa kubofya *106#, ambapo wanatakiwa kuripoti kwa watoa huduma wao wanapogundua namba wasizozitambua ili zifutwe. ",{"type":11,"children":418},[419],{"text":420,"type":16},"Sekta ya Mawasiliano imepata maendeleo makubwa ambapo takwimu za Desemba 2025 za hali ya mawasiliano Tanzania zinaonesha akaunti za pesa kupitia simu za mkononi zimefikia 76,466,691. Laini zilizotumia huduma za intaneti zilizongezeka kwa asilimia 3.2 kati ya Septemba na Desemba 2025, kutoka 56,322,287 hadi 58,106,264.",{"type":11,"children":422},[423],{"text":424,"type":16},"TCRA inasisitiza kwamba watumiaji wasitekeleze na wasitoe taarifa zao kabla ya kujidhihirisha kwamba wanaowasiliana nao ni watu sahihi na sio matapeli.",{"type":11,"children":426},[427],{"text":428,"type":16},"Ripoti ya hali ya mawasiliano Tanzania kufikia Desemba inasema ingawaje matukio na majaribio ya ulaghai yaliyoripotiwa kwenye mitandao ya simu yalipungua, kushuka kwa asilimia 24 kati ya Septemba na Desemba 2025, bado kuna wahalifu wanaondelea na utapeli. Yalipungua kutoka 12,475 hadi 9,450 kipindi hicho.",{"type":11,"children":430},[431],{"text":432,"type":16},"Kwa ujumla, matukio ya ulaghai yamepungua kwa asilimia 150 kati ya Septemba 2023 na Desemba 2025, kutoka matukio 23,328 hadi 9,450. Hata hivyo, licha ya hali hiyo, mikoa ya Rukwa na Morogoro imeendelea kuongoza kwa matukio mengi zaidi ya ulaghai.","2026-03-10",2.23,"2026-03-11T07:13:37.000Z","2026-06-02T23:38:14.304Z",{"id":438,"documentId":439,"url":440,"alternativeText":96,"formats":441,"width":471,"height":472},16,"lt8ybk9bza3dzw0cmu2h8tjy","https://www.tcra.go.tz/tcra-tovuti/2026/mamlaka-website/news/covers/aa87569364f458012dec8ed47ccfd2f9_f1329cb2ad.jpeg",{"large":442,"small":450,"medium":457,"thumbnail":464},{"ext":99,"url":443,"etag":444,"hash":445,"mime":103,"name":446,"path":225,"size":447,"width":227,"height":448,"sizeInBytes":449},"https://www.tcra.go.tz/tcra-tovuti/2026/mamlaka-website/news/covers/large_aa87569364f458012dec8ed47ccfd2f9_f1329cb2ad.jpeg","9d2b7ee34b3e582d7abb866a3e41ea3c","large_aa87569364f458012dec8ed47ccfd2f9_f1329cb2ad","large_aa87569364f458012dec8ed47ccfd2f9.jpeg",77.11,562,77113,{"ext":99,"url":451,"etag":452,"hash":453,"mime":103,"name":454,"path":225,"size":455,"width":107,"height":108,"sizeInBytes":456},"https://www.tcra.go.tz/tcra-tovuti/2026/mamlaka-website/news/covers/small_aa87569364f458012dec8ed47ccfd2f9_f1329cb2ad.jpeg","b6ab770cdb07009d90aae3a706e62bae","small_aa87569364f458012dec8ed47ccfd2f9_f1329cb2ad","small_aa87569364f458012dec8ed47ccfd2f9.jpeg",29,29004,{"ext":99,"url":458,"etag":459,"hash":460,"mime":103,"name":461,"path":225,"size":462,"width":116,"height":117,"sizeInBytes":463},"https://www.tcra.go.tz/tcra-tovuti/2026/mamlaka-website/news/covers/medium_aa87569364f458012dec8ed47ccfd2f9_f1329cb2ad.jpeg","f81b59ace6f1b395bc486e5c90dba50b","medium_aa87569364f458012dec8ed47ccfd2f9_f1329cb2ad","medium_aa87569364f458012dec8ed47ccfd2f9.jpeg",51.6,51596,{"ext":99,"url":465,"etag":466,"hash":467,"mime":103,"name":468,"path":225,"size":469,"width":125,"height":126,"sizeInBytes":470},"https://www.tcra.go.tz/tcra-tovuti/2026/mamlaka-website/news/covers/thumbnail_aa87569364f458012dec8ed47ccfd2f9_f1329cb2ad.jpeg","ab2a7b64ee19cc5b0485870765eb4fe0","thumbnail_aa87569364f458012dec8ed47ccfd2f9_f1329cb2ad","thumbnail_aa87569364f458012dec8ed47ccfd2f9.jpeg",9.31,9308,1830,1029,{"id":474,"documentId":475,"title":476,"slug":477,"introduction":478,"content":479,"publishedDate":536,"readingTime":537,"createdAt":538,"updatedAt":539,"publishedAt":540,"locale":86,"cover":541},11,"mlpqkv5wgbo76u7zgcqn6yn4","TCRA pushes for Postal Transformation","tcra-pushes-for-postal-transformation","By our Writer THE TANZANIA Communications Regulatory Authority (TCRA) has initiated a review of the Postal sector’s legal and regulatory framework to support emerging business models, the Authority's Director General, Dr Jabiri Bakari, says. Dr Bakari explains that the objective was ensure compliance, service quality…",[480,484,488,492,500,504,508,512,516,520,524,528,532],{"type":11,"children":481},[482],{"bold":14,"text":483,"type":16,"italic":14},"By our Writer",{"type":11,"children":485},[486],{"text":487,"type":16},"THE TANZANIA Communications Regulatory Authority (TCRA) has initiated a review of the Postal sector’s legal and regulatory framework to support emerging business models, the Authority's Director General, Dr Jabiri Bakari, says.",{"type":11,"children":489},[490],{"text":491,"type":16},"Dr Bakari explains that the objective was ensure compliance, service quality standards and promote the Postal sector’s long-term sustainability.",{"type":11,"children":493},[494,496,498],{"text":495,"type":16},"He in Dar Es Salaam yesterday that TCRA’s commitment to enforcing robust Environmental, Social, and Governance (ESG) principles, which are key to the sustainable growth of postal and courier operations. The Pan African Postal Union (PAPU) celebrates 46",{"text":497,"type":16},"sup>th",{"text":499,"type":16},"/sup> Anniversary, this month since its establishment. ",{"type":11,"children":501},[502],{"text":503,"type":16},"He says that TCRA promotes efficiency-enhancing measures. These include route optimization, the adoption of energy-efficient and low-emission delivery vehicles, sustainable infrastructure development, and responsible packaging and waste management.",{"type":11,"children":505},[506],{"text":507,"type":16},"TCRA also prioritizes universal access to postal services, he added. ",{"type":11,"children":509},[510],{"text":511,"type":16},"Dr Bakari describes the postal sector as vital in promoting inclusive growth as it connects businesses, people and consumers, supporting cross-border trade. ",{"type":11,"children":513},[514],{"text":515,"type":16},"It also facilitated electronic commerce at all levels by ensuring reliable last-mile delivery, particularly to rural and underserved communities, he notes.",{"type":11,"children":517},[518],{"text":519,"type":16},"He explains how strategic and strong partnerships among government institutions, private courier operators, digital platforms, and development partners can unlock new opportunities in the postal sector.",{"type":11,"children":521},[522],{"text":523,"type":16},"“These partnerships support the growth of the digital economy and the development of a resilient, inclusive, and sustainable postal ecosystem,\" he says.",{"type":11,"children":525},[526],{"text":527,"type":16},"He reiterates TCRA’s commitment to advancing regional cooperation and regulatory harmonization through regional and international communications organizations, These include PAPU, the East African Communications Organization (EACO) and the Communications Regulators’ Association of Southern Africa (CRASA).",{"type":11,"children":529},[530],{"text":531,"type":16},"“Harmonizing regulatory frameworks, converging technologies and operational standards, and coordinating cross-border postal and courier operations are essential to improving interoperability,” he states.",{"type":11,"children":533},[534],{"text":535,"type":16},"He adds that they are also key in reducing regulatory barriers, enhancing efficiency in cross-border mail exchange, facilitating the smooth flow of goods and services and strengthening intra-African trade.","2026-01-28",1.57,"2026-01-29T04:32:51.000Z","2026-01-29T07:52:17.000Z","2026-06-02T23:38:16.634Z",{"id":542,"documentId":543,"url":544,"alternativeText":96,"formats":545,"width":472,"height":575},17,"h1mdlmq5lop04qmkhcm4qn7o","https://www.tcra.go.tz/tcra-tovuti/2026/mamlaka-website/news/covers/a58a6fae4defed6ecf9c38434211b102_a9f9a36eb8.jpeg",{"large":546,"small":554,"medium":561,"thumbnail":568},{"ext":99,"url":547,"etag":548,"hash":549,"mime":103,"name":550,"path":225,"size":551,"width":227,"height":552,"sizeInBytes":553},"https://www.tcra.go.tz/tcra-tovuti/2026/mamlaka-website/news/covers/large_a58a6fae4defed6ecf9c38434211b102_a9f9a36eb8.jpeg","ee61c8adb54627b841b18b8230be2cd2","large_a58a6fae4defed6ecf9c38434211b102_a9f9a36eb8","large_a58a6fae4defed6ecf9c38434211b102.jpeg",72.68,563,72682,{"ext":99,"url":555,"etag":556,"hash":557,"mime":103,"name":558,"path":225,"size":559,"width":107,"height":108,"sizeInBytes":560},"https://www.tcra.go.tz/tcra-tovuti/2026/mamlaka-website/news/covers/small_a58a6fae4defed6ecf9c38434211b102_a9f9a36eb8.jpeg","6bcd549c72c5af61f069b01ffd735ba8","small_a58a6fae4defed6ecf9c38434211b102_a9f9a36eb8","small_a58a6fae4defed6ecf9c38434211b102.jpeg",26.43,26428,{"ext":99,"url":562,"etag":563,"hash":564,"mime":103,"name":565,"path":225,"size":566,"width":116,"height":117,"sizeInBytes":567},"https://www.tcra.go.tz/tcra-tovuti/2026/mamlaka-website/news/covers/medium_a58a6fae4defed6ecf9c38434211b102_a9f9a36eb8.jpeg","190075917ac65f9e468f6db7d048a008","medium_a58a6fae4defed6ecf9c38434211b102_a9f9a36eb8","medium_a58a6fae4defed6ecf9c38434211b102.jpeg",48.38,48381,{"ext":99,"url":569,"etag":570,"hash":571,"mime":103,"name":572,"path":225,"size":573,"width":125,"height":126,"sizeInBytes":574},"https://www.tcra.go.tz/tcra-tovuti/2026/mamlaka-website/news/covers/thumbnail_a58a6fae4defed6ecf9c38434211b102_a9f9a36eb8.jpeg","e8592a323387b29c4b90b843e688279a","thumbnail_a58a6fae4defed6ecf9c38434211b102_a9f9a36eb8","thumbnail_a58a6fae4defed6ecf9c38434211b102.jpeg",8.47,8468,579,{"id":542,"documentId":577,"title":578,"slug":579,"introduction":578,"content":580,"publishedDate":593,"readingTime":594,"createdAt":595,"updatedAt":596,"publishedAt":597,"locale":86,"cover":598},"tov7ukamz87egmbbgcvibq0o","SMARTPHONES ON THE INCREASE - DIGITAL OPPORTUNITIES ON SURGE","smartphones-on-the-increase-digital-opportunities-on-surge",[581,585],{"type":11,"children":582},[583],{"text":584,"type":16},"",{"type":11,"children":586},[587],{"url":588,"type":589,"children":590},"https://www.tcra.go.tz/tcra-tovuti/2025/mamlaka-website/news/attachments/en_1765781866_Digital_Opportunities_on_Surge_9281f9e769.pdf","link",[591],{"text":592,"type":16},"en-1765781866-Digital Opportunities on Surge","2025-12-14",0.02,"2025-12-15T00:57:46.000Z","2026-07-27T21:47:08.750Z","2026-06-02T23:38:44.382Z",{"id":599,"documentId":600,"url":601,"alternativeText":96,"formats":602,"width":633,"height":634},18,"vgrp0vvvjxalg11y7ey6xi52","https://www.tcra.go.tz/tcra-tovuti/2025/mamlaka-website/news/covers/default_image_3c9bacf365.png",{"large":603,"small":612,"medium":619,"thumbnail":626},{"ext":604,"url":605,"etag":606,"hash":607,"mime":608,"name":609,"path":105,"size":610,"width":227,"height":552,"sizeInBytes":611},".png","https://www.tcra.go.tz/tcra-tovuti/2025/mamlaka-website/news/covers/large_default_image_3c9bacf365.png","1c9c0b23e688bc6b237143b33f85d3a5","large_default_image_3c9bacf365","image/png","large_default-image.png",1087.49,1087491,{"ext":604,"url":613,"etag":614,"hash":615,"mime":608,"name":616,"path":105,"size":617,"width":107,"height":108,"sizeInBytes":618},"https://www.tcra.go.tz/tcra-tovuti/2025/mamlaka-website/news/covers/small_default_image_3c9bacf365.png","19a87465d52f16454657438f278d36b7","small_default_image_3c9bacf365","small_default-image.png",306.99,306989,{"ext":604,"url":620,"etag":621,"hash":622,"mime":608,"name":623,"path":105,"size":624,"width":116,"height":117,"sizeInBytes":625},"https://www.tcra.go.tz/tcra-tovuti/2025/mamlaka-website/news/covers/medium_default_image_3c9bacf365.png","0514aab915596d25ec66ce380cbba1cb","medium_default_image_3c9bacf365","medium_default-image.png",662.16,662164,{"ext":604,"url":627,"etag":628,"hash":629,"mime":608,"name":630,"path":105,"size":631,"width":125,"height":126,"sizeInBytes":632},"https://www.tcra.go.tz/tcra-tovuti/2025/mamlaka-website/news/covers/thumbnail_default_image_3c9bacf365.png","b81b90651abe883178e65091bb6f1867","thumbnail_default_image_3c9bacf365","thumbnail_default-image.png",81.97,81966,1024,576,{"id":636,"documentId":637,"title":638,"slug":639,"introduction":638,"content":640,"publishedDate":651,"readingTime":594,"createdAt":652,"updatedAt":653,"publishedAt":654,"locale":86,"cover":655},23,"wrwi78zpdmfgk4ryphkz8o6s","DIGITAL REVOLUTION: 99M SUBSCRIPTIONS POWER ECONOMIC TRANSFORMATION","digital-revolution-99m-subscriptions-power-economic-transformation",[641,644],{"type":11,"children":642},[643],{"text":584,"type":16},{"type":11,"children":645},[646],{"url":647,"type":589,"children":648},"https://www.tcra.go.tz/tcra-tovuti/2025/mamlaka-website/news/attachments/en_1763724243_Digital_Revoluton_Article_ba08c99ea5.pdf",[649],{"text":650,"type":16},"en-1763724243-Digital Revoluton Article","2025-11-20","2025-11-21T05:24:03.000Z","2026-07-27T21:47:09.148Z","2026-06-02T23:38:56.720Z",{"id":599,"documentId":600,"url":601,"alternativeText":96,"formats":656,"width":633,"height":634},{"large":657,"small":658,"medium":659,"thumbnail":660},{"ext":604,"url":605,"etag":606,"hash":607,"mime":608,"name":609,"path":105,"size":610,"width":227,"height":552,"sizeInBytes":611},{"ext":604,"url":613,"etag":614,"hash":615,"mime":608,"name":616,"path":105,"size":617,"width":107,"height":108,"sizeInBytes":618},{"ext":604,"url":620,"etag":621,"hash":622,"mime":608,"name":623,"path":105,"size":624,"width":116,"height":117,"sizeInBytes":625},{"ext":604,"url":627,"etag":628,"hash":629,"mime":608,"name":630,"path":105,"size":631,"width":125,"height":126,"sizeInBytes":632},{"id":455,"documentId":662,"title":663,"slug":664,"introduction":663,"content":665,"publishedDate":676,"readingTime":594,"createdAt":677,"updatedAt":678,"publishedAt":679,"locale":86,"cover":680},"j9ehajpfh06koyijheifdy9s","KASI UKUAJI HUDUMA ZA FEDHA MTANDAO INAVYOAKISI DIRA 2050","kasi-ukuaji-huduma-za-fedha-mtandao-inavyoakisi-dira-2050",[666,669],{"type":11,"children":667},[668],{"text":584,"type":16},{"type":11,"children":670},[671],{"url":672,"type":589,"children":673},"https://www.tcra.go.tz/tcra-tovuti/2025/mamlaka-website/news/attachments/en_1763724253_Makala_Huduma_Pesa_Mtandao_5cb3593984.pdf",[674],{"text":675,"type":16},"en-1763724253-Makala_Huduma Pesa Mtandao","2025-11-19","2025-11-20T01:48:35.000Z","2026-07-27T21:47:09.738Z","2026-06-02T23:39:04.119Z",{"id":681,"documentId":682,"url":683,"alternativeText":96,"formats":684,"width":713,"height":377},21,"p8wncx9b6hp1uhprf1p8x6ug","https://www.tcra.go.tz/tcra-tovuti/2025/mamlaka-website/news/covers/e09b0f230e5c05fcda1bf1e4e94ae244_0d6881f403.jpeg",{"large":685,"small":692,"medium":699,"thumbnail":706},{"ext":99,"url":686,"etag":687,"hash":688,"mime":103,"name":689,"path":105,"size":690,"width":227,"height":552,"sizeInBytes":691},"https://www.tcra.go.tz/tcra-tovuti/2025/mamlaka-website/news/covers/large_e09b0f230e5c05fcda1bf1e4e94ae244_0d6881f403.jpeg","a8535cde5d9936f7706bedfc6d6e67bf","large_e09b0f230e5c05fcda1bf1e4e94ae244_0d6881f403","large_e09b0f230e5c05fcda1bf1e4e94ae244.jpeg",48.77,48773,{"ext":99,"url":693,"etag":694,"hash":695,"mime":103,"name":696,"path":105,"size":697,"width":107,"height":108,"sizeInBytes":698},"https://www.tcra.go.tz/tcra-tovuti/2025/mamlaka-website/news/covers/small_e09b0f230e5c05fcda1bf1e4e94ae244_0d6881f403.jpeg","c8493d9128a4fcfe8544eb2e964bdfd3","small_e09b0f230e5c05fcda1bf1e4e94ae244_0d6881f403","small_e09b0f230e5c05fcda1bf1e4e94ae244.jpeg",18.29,18293,{"ext":99,"url":700,"etag":701,"hash":702,"mime":103,"name":703,"path":105,"size":704,"width":116,"height":117,"sizeInBytes":705},"https://www.tcra.go.tz/tcra-tovuti/2025/mamlaka-website/news/covers/medium_e09b0f230e5c05fcda1bf1e4e94ae244_0d6881f403.jpeg","885d7dbee46493c38c514ad745109fb3","medium_e09b0f230e5c05fcda1bf1e4e94ae244_0d6881f403","medium_e09b0f230e5c05fcda1bf1e4e94ae244.jpeg",32.18,32180,{"ext":99,"url":707,"etag":708,"hash":709,"mime":103,"name":710,"path":105,"size":711,"width":125,"height":126,"sizeInBytes":712},"https://www.tcra.go.tz/tcra-tovuti/2025/mamlaka-website/news/covers/thumbnail_e09b0f230e5c05fcda1bf1e4e94ae244_0d6881f403.jpeg","4cc1aa3f7e92c880ff13037ac9092524","thumbnail_e09b0f230e5c05fcda1bf1e4e94ae244_0d6881f403","thumbnail_e09b0f230e5c05fcda1bf1e4e94ae244.jpeg",6.82,6818,1280]