Taarifa kwa Umma: Ombi la Leseni Chini ya Mfumo wa Leseni Uliobadilishwa (CLF) - Wingu Tanzania Limited
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imejidhatiti kutoa huduma bora kwa wateja na wadau wake wote.