Tafiti Zinazoendelea Kutekelezwa katika Mwaka wa Fedha 2024/2025
Ili kudhibiti kwa ufanisi sekta ya mawasiliano inayobadilika kwa kasi, TCRA inahitaji kuwa na taarifa sahihi na uwezo wa kutambua mwenendo unaojitokeza pamoja na kujibu kwa usahihi maendeleo ya baadaye ya sekta hiyo. Mahitaji haya yanahitaji kufanyika kwa tafiti za matumizi katika maeneo ya kimkakati. Kutokana na hilo, TCRA iliwashirikisha watafiti kupitia mchakato wa zabuni wa ushindani ili kufanya tafiti katika maeneo mbalimbali ya utafiti. Tafiti zifuatazo zinaendelea kutekelezwa:
| S/No | Research Topic | Duration | Start Date | End Date | Consulting Firm | Team Leader | Country |
|---|---|---|---|---|---|---|---|
| 1 | Review of Legal and regulatory framework for broadcasting sub-sector | 8 Months | May 2024 | February 2025 | M/S Cenerva Ltd | Prof. H. Sama Nwana | United Kingdom |
| 2 | Consumer Satisfaction survey | 5 Months | January 2025 | June 2025 | The Institute of Finance management (IFM) | Dr. Deogratius Lashayo | Tanzania |
| 3 | Customer Satisfaction Survey | 5 Months | January 2025 | June 2025 | University of Dar es salaam (UDSM) | Prof. Siasa Mzenzi | Tanzania |
| 4 | Emerging Technologies | 6 Months | January 2025 | June 2025 | Dar es salaam Tumaini University (DarTU) | Dr. Godfrey Wandwi | Tanzania |
Mwito wa kuwasilisha maombi ya utafiti
TCRA inawakaribisha watafiti waliobobea katika utafiti wa vitendo kutoka ndani na nje ya JMT kuwasilisha mapendekezo yao ya utafiti kufikia ama kabla ya tarehe 31 Disemba 2024 saa 10:00 Jioni
Stadi Zilizopita
- Uchambuzi wa Mwelekeo wa Gharama za Huduma za Simu (2000- 2006): Tariffs Trend by Operator na Average Tariffs Trend



