TCRA

TCRA

Creating a Level Playing Field

Initializing...

HAKI NA WAJIBU WA WATUMIAJI

Haki za Watumiaji Kupata huduma nzuri Kupata taarifa kuhusu huduma na bidhaa Kutokubaguliwa Kutoa malalamiko Kusuluhishiwa malalamiko yao yote Uhakikisho wa usalama kwenye bidhaa na huduma wanazozinunua Faragha na usiri wa mtumiaji Kuelimishwa Kuarifiwa kabla ya kusimamishwa au kusitishwa kwa huduma Kuwakilishwa Kupew…

HAKI NA WAJIBU WA WATUMIAJI

Haki za Watumiaji

  • Kupata huduma nzuri
  • Kupata taarifa kuhusu huduma na bidhaa
  • Kutokubaguliwa
  • Kutoa malalamiko
  • Kusuluhishiwa malalamiko yao yote
  • Uhakikisho wa usalama kwenye bidhaa na huduma wanazozinunua
  • Faragha na usiri wa mtumiaji
  • Kuelimishwa
  • Kuarifiwa kabla ya kusimamishwa au kusitishwa kwa huduma
  • Kuwakilishwa
  • Kupewa taarifa sahihi kwenye ankara
  • Kukata rufaa katika kesi ya kutokuridhika na huduma

Wajibu wa Watumiaji

  • Kulipa ankara kwa wakati
  • Kulinda mazingira kwa kuepuka kutupa vifuniko vya simu, kadi au vifaa vingine vilivyotumika ovyo
  • Kugundua na kuripoti udhaifu katika utoaji wa huduma
  • Kusaidia udhibiti wa habari kwa kuripoti makosa ya mawasiliano
  • Kulinda vifaa na miundombinu ya mawasiliano
  • Kutumia huduma zilizokubaliwa kwa haki
  • Kuheshimu uhuru wa wengine kwa kutokusumbua
  • Kuzingatia sheria na kanuni