TCRA

TCRA

Creating a Level Playing Field

Initializing...

TCRA yakabidhi Jengo la Ofisi kwa Tume ya TEHAMA

img alt="" src="https://www.tcra.go.tz/uploads/text-editor/images/PIC 5_1660642517.jpg" style="height:481px; width:700px" /> Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Dkt. Jabiri Bakari (wa pili kulia) akisaini hati ya makubaliano na Mkur…

PIC 5_1660642517

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Dkt. Jabiri Bakari (wa pili kulia) akisaini hati ya makubaliano na Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya TEHAMA Bw. Kundwe Moses Mwasaga, ambapo katika makubaliano hayo TCRA iliipatia Tume ya TEHAMA jengo la Mawasiliano lililopo eneo la Upanga, Dar es Salaam litakalowezesha utekelezaji wa shughuli za utawala za kila siku. Wanaoshuhudia ni maafisa wa TCRA na Tume.

TCRA -ICTC-1-3_1660642978

TCRA -ICTC-1-7_1660643145

TCRA -ICTC-1-10_1660643316