TCRA

TCRA

Creating a Level Playing Field

Initializing...

Uchapishaji wa orodha ya Postikodi

UCHAPISHAJI WA ORODHA YA POSTIKODI Kwa kuzingatia kifungu 41 cha Sheria ya Mawasiliano ya Kielektroniki na Posta ya mwaka 2010, Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) inapenda kuufahamisha umma kwa ujumla kwamba orodha ya Postikodi kwa Jamhuri ya Muungan…

UCHAPISHAJI WA ORODHA YA POSTIKODI

Kwa kuzingatia kifungu 41 cha Sheria ya Mawasiliano ya Kielektroniki na Posta ya mwaka 2010, Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) inapenda kuufahamisha umma kwa ujumla kwamba orodha ya Postikodi kwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imechapishwa kwenye Gazeti la Serikali namba 240 la tarehe 22 Aprili 2016.

Postikodi au simbo za posta ni mfumo maalum wa alama, tarakimu na herufi inayotambulisha sehemu au eneo la kufikisha huduma za posta na kwa Tanzania linaanzia kwenye kata. Upangaji wa postikodi kitaalamu umefanyika baada ya utafiti wa muda mrefu uliohusisha wataalamu mbalimbali ili kuelewa mfumo wa postikodi kwa Tanzania.

Orodha ya Msimbo wa Posta inaweza kupatikana hapa chini;