TCRA

TCRA

Creating a Level Playing Field

Initializing...

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania ( TCRA) Dkt. Jabir Bakari Ameongoza Mkutano wa Majadiliano baina ya TCRA na Wahariri wa Vyombo vya Habari Nchini.

Katika Mkutano huo Wahariri waliwasilisha Maswali na hoja mbalimbali zilizopatiwa Majibu na Menejimenti ya TCRA ikiongozwa na Mkurugenzi Mkuu. Mkutano huo Umefanyika Tarehe 22 Februari 2022 katika Ukumbi wa Makao Makuu ya TCRA, Dar es Salaam.

Rudi kwenye matukio