TCRA

TCRA

Creating a Level Playing Field

Initializing...

Matukio Katika Picha

Picha na matukio muhimu kutoka mikutano, kampeni, na shughuli za umma.

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania ( TCRA) Dkt. Jabir Bakari Ameongoza Mkutano wa Majadiliano baina ya TCRA na Wahariri wa Vyombo vya Habari Nchini.

Katika Mkutano huo Wahariri waliwasilisha Maswali na hoja mbalimbali zilizopatiwa Majibu na Menejimenti ya TCRA ikiongozwa na Mkurugenzi Mkuu. Mkutano huo Umefanyika Tarehe 22 Februari 2022 katika Ukumbi wa Makao Makuu ya TCRA, Dar es Salaam.

Soma zaidi

+5 zaidi kwenye ukurasa wa tukio

Angalia zote

Maadhimisho ya Siku ya Usalama Mtandaoni Yaliyoandaliwa na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania ( TCRA) Yamefanyika Katika Ukumbi wa Makumbusho ya Taifa Jijini Dar Es Salaam: Jumla ya Wanafunzi 354 Kutoka Shule za Msingi, Sekondari na Vyuo Vikuu Wameshiriki.

Mkutano wa Watoa Huduma za Mahudhui na Wadau Wengine Katika Kanda ya Kati ya TCRA, Dodoma 28 July 2021.

Soma zaidi

Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania yashiriki katika shughuli za Mbio za Mwenge Maalum 2020/21 kwa kutoa elimu kwa wadau ikiwa ni ishara ya TCRA kuunga Mkono Kauli Mbiu isemayo "TEHAMA ni Msingi wa Taifa endelevu; itumike kwa usahihi na uwajibikaji"

Soma zaidi

+2 zaidi kwenye ukurasa wa tukio

Angalia zote

Ziara ya Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Pauline Gekul kutembelea Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) tarehe 23 Julai 2021.

Soma zaidi

+5 zaidi kwenye ukurasa wa tukio

Angalia zote

Ziara ya Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Exaud Kigahe (MB) alipotembelea banda la TCRA katika Maonesho ya 45 ya Kimataifa ya Biashara Sabasaba kuanzia tarehe 13 Julai 2021.

Ziara ya Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Exaud Kigahe (MB) alipotembelea banda la TCRA katika Maonesho ya 45 ya Kimataifa ya Biashara Sabasaba kuanzia tarehe 13 Julai 2021.

Soma zaidi

Wizara zakutana Kujadili Utekelezaji wa Kikokotoo cha Mirahaba kwa Wasanii na Mabadiliko ya Kanuni za Maudhui Mtandaoni tarehe 10 Julai 2021

Wizara zakutana Kujadili Utekelezaji wa Kikokotoo cha Mirahaba kwa Wasanii na Mabadiliko ya Kanuni za Maudhui Mtandaoni tarehe 10 Julai, 2021.

Soma zaidi

+3 zaidi kwenye ukurasa wa tukio

Angalia zote

Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania Dkt. Jabiri Bakari akabidhi rasmi majukumu yake kama Mwenyekiti wa EACO kwa Mwenyekiti Mpya ambaye ni Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka inayosimamia Mawasiliano Rwanda tarehe 9 Julai, 2021.

+1 zaidi kwenye ukurasa wa tukio

Angalia zote

Ushiriki wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania katika Maonesho ya 45 ya Kimataifa ya Biashara Sabasaba kuanzia tarehe 28 Juni - 13 Julai 2021.

Ushiriki wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania katika Maonesho ya 45 ya Kimataifa ya Biashara Sabasaba kuanzia tarehe 28 Juni - 13 Julai 2021.

Soma zaidi

+1 zaidi kwenye ukurasa wa tukio

Angalia zote

Ugeni wa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Nchini Burundi (ARCT) Mr. Samuel Muhizi alipotembelea Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Tarehe 01 Julai, 2021.

Soma zaidi

Ziara ya Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe. Dkt. Faustine Ndugulile kutembelea Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA)

Soma zaidi

+2 zaidi kwenye ukurasa wa tukio

Angalia zote

Inaonyesha 1 hadi 12 kati ya 30