TCRA

TCRA

Creating a Level Playing Field

Initializing...

Dira, Dhima & Maono

Misingi yetu ya uongozi na mamlaka ya kisheria.

Dira

Jamii iliyowezeshwa na huduma za mawasiliano.

Dhima

Kusimamia huduma za mawasiliano kwa ustawi wa Jamii ya Watanzania.

Wajibu

Wajibu wa Mamlaka ya Udhibiti Mawasiliano Tanzania (TCRA) ni kudhibiti sekta ya mawasiliano na kielektroni na posta kwa mujibu wa Sheria ya Mamlaka ya Udhibiti wa Mawasiliano Tanzania Namba 12 ya mwaka 2003