TCRA

TCRA

Creating a Level Playing Field

Initializing...

Muundo wa Taasisi na Ramani ya Mpango wa Kimkakati

Muundo, uongozi, na ramani ya mpango wa kimkakati wa mamlaka.

Muundo wa Taasisi

Muundo wa Taasisi unaonesha mpangilio, ikijumuisha idara, nafasi za kazi, mahusiano ya kiutawala na majukumu mbalimbali. Husaidia wadau kuelewa jinsi taasisi lilivyopangwa na kusimamiwa.

Ramani ya Mpango Mkakati

Ramani ya Mpango Mkakati inaonesha malengo ya kimkakati ya taasisi, vipaumbele na shughuli muhimu za utekelezaji. Inaeleza jinsi malengo na shughuli mbalimbali zinavyounganishwa ili kufanikisha dira na dhamira ya taasisi.