TCRA

TCRA

Creating a Level Playing Field

Initializing...

Malengo ya Kimkakati

Malengo yetu ya kuendeleza mawasiliano nchini Tanzania.

Mamlaka imeandaa Malengo mbalimbali ili kufikia maono yake katika kukabiliana na mambo muhimu kama yalivyobainishwa katika uchambuzi wa hali halisi ya kisekta. Malengo hayo ni:-
  1. Kukuza miundombinu na huduma za mawasiliano ya kielektroni na posta yenye usalama, ufanisi na imara;\
  2. Kuimarisha upatikanaji wa huduma za mawasiliano ya kielektroni na posta zenye ubora na unafuu;
  3. Kuimarisha ubunifu wa huduma zinazodhibitiwa, uandaaji wa maudhui ya ndani na ujanibishaji;
  4. Kuimarisha ufanisi wa huduma zinazodhibitiwa na kuwalinda wadau; na
  5. Kuimarisha uwezo wa taasisi.