Taarifa Kwa Umma: Uagizaji, Usambazaji na Uuzaji wa Vifaa vya Mawasiliano ya Simu Ambavyo Havijaidhinishwa.
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imejidhatiti kutoa huduma bora kwa wateja na wadau wake wote.