Mwongozo wa Watumiaji wa Huduma na Bidhaa za Mawasiliano
Mwongozo huu unakupa muhtasari wa sisi ni kina nani, wadau wetu, kazi na majukumu yetu. Pamoja na mambo engine kitabu hiki kinaelezea juu ya haki za watumiaji, majukumu pamoja na sheria na kanuni. Bofya hapa kufungua.