JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

MAMLAKA YA MAWASILIANO TANZANIA

TAASISI YENYE VIWANGO VYA ISO 9001: 2015
  1. Kusimamia maendeleo, utekelezaji na mapitio ya Kanuni, Sheria, na Miongozo ya utoaji leseni na usimamizi wa huduma za mawasiliano;
  2. Kusimamia utoaji leseni, matekelezo na Michakato ya Masuala ya Wateja;
  3. Kutoa ushauri kuhusiana na masuala ya Leseni na Utekelezaji wa sheria;
  4. Kuandaa ratiba ya kazi kwa ajili ya matekelezo ya masharti ya leseni na kusimamia utekelezaji;
  5. Kuandaa na kusimamia programu za masuala ya elimu kwa umma na wateja;
  6. Kusimamia maandalizi na utekelezaji wa mbinu za kushughulikia malalamiko;
  7. Kutoa Huduma za Sekretarieti kwenye Bodi, Kamati za Maudhui na Malalamiko za TCRA;
  8. Kuunganisha na Baraza la Ushauri wa Wateja la TCRA kuhusiana na masuala ya Wateja;
  9. Kuratibu shughuli za mashirika ya Kikanda na Kimataifa yanayojihusisha na masuala ya ACRAN.
Je, una Maswali yoyote juu ya Sekta ya Mawasiliano?
Tuma Mrejesho na Malalamiko!

Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imejidhatiti kutoa huduma bora kwa wateja na wadau wake wote.

Tuma Mrejesho na Malalamiko!