Orodha ya kuangalia Mahitaji
Maombi ya leseni yaliyokamilika yanatakiwa kuwa na vitu vifuatavyo:
- Barua ya kuwasilisha maombi kwa Mkurugenzi Mkuu
- Fomu ya maombi iliyojazwa kikamilifu na kupigwa mhuri
- Nakala halisi ya risiti ya malipo ya ada ya maombi
- Nakala iliyothibitishwa ya hati za Usajili wa Kampuni
- Nakala iliyothibitishwa ya Katiba ya Kampuni
- Uthibitisho wa uwezo wa mwombaji (mifano)
- Wasifu wa Kampuni
- Anwani ya mahali kampuni ilipo na ya mawasiliano
- Mipango ya kiufundi
- Aina ya teknolojia (makabrasaha yanayoelezea vipengele vya kiufundi)
- Mpango wa kueneza mtandao na huduma
- eneo litakalofikiwa
- uwezo wa wa kukidhi mahitaji
- mpango wa ujenzi
- mahitaji ya masafa ya redio
-
- Mpango wa mtandao na wa kila kipengele
- Huduma inayotolewa
- Mpango wa gharama na tozo
- Mfumo wa kuandaa gharama
- Upangaji wa bei za huduma
- Mfumo wa kuandaa ankara – uwezo wa kutoa maelezo ya kina
- Mpango wa kuhudumia wateja (ubora wa huduma)
- Mpango wa kifedha
- Makisio ya matumizi na mapato
- Makisio ya mapato halisi
- Makisio ya mizania ya kifedha
- Moango wa uwekezaji
- Fedha za uwekezaji
- Mkakati wa kuendeleza wafanyakazi na raslimali watu
- Mpangilio wa vipindi (kwa maudhui)
- Ubora na aina ya maudhui
- Faida kwa uchumi na jamii iliyoko eneo la
- Utoaji wa aina nyingi za vipindi
- Matokeo kwa maendeleo ya jumla kwa sekta ya utangazaji