Taarifa kwa Umma: Wito wa Kushiriki Dodoso la Vilabu vya Kidijitali
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imejidhatiti kutoa huduma bora kwa wateja na wadau wake wote.