JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

MAMLAKA YA MAWASILIANO TANZANIA

TAASISI YENYE VIWANGO VYA ISO 9001: 2015

Maktaba ya Picha

Ziara ya Waheshimiwa Mabalozi wanaowakilisha Tanzania Nchi za Nje kutembelewa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) tarehe 16 Agosti, 2019
Ziara ya Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Usafirishaji wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na Mawasiliano Mhandisi Atashasta Nditiye kutembelea Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) tarehe 9 Agosti 2019.
Ziara ya Bodi na Menejimenti ya TCRA Kutembelea Mradi wa kufua umeme mto Rufiji tarehe 29 Julai, 2019
Ziara ya Bodi na Menejimenti ya TCRA kutembelea Maktaba mpya ya Chuo Kikuu cha Dar es Salamm inayotumia mifumo ya kielektroniki na kutembelea Ujenzi wa Kiwanja cha ndege cha Julius Nyerere Terminal 3 tarehe 21 Juni, 2019.
Uzinduzi wa Mkataba wa Huduma kwa Mteja wa TCRA katika Ukumbi wa Dodoma Convention centre tarehe 8 Mei, 2019
TCRA Kutembelea Mradi wa ujenzi wa Reli ya Kasi (SGR) na kuahidi kushirikiana na Shirika la Reli Tanzania (TRC) kuweka mifumo bora ya kisasa ya Mawasiliano kwa usalama wa abiria na Ufanisi wa reli hiyo tarehe 16 Aprili 2019.2019