Shindano la Kitaifa la Usalama Mtandaoni linalohusisha Vyuo Vikuu nane (Tanzania Bara na Visiwani), linaandaliwa na TCRA kwa kushirikiana na Silensec na kufanyika UDOM tarehe 20 Desemba 2019.
Ziara ya Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Usafirishaji wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na Mawasiliano Mhandisi Atashasta Nditiye kutembelea Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) tarehe 9 Agosti 2019.
Ziara ya Bodi na Menejimenti ya TCRA kutembelea Maktaba mpya ya Chuo Kikuu cha Dar es Salamm inayotumia mifumo ya kielektroniki na kutembelea Ujenzi wa Kiwanja cha ndege cha Julius Nyerere Terminal 3 tarehe 21 Juni, 2019.
TCRA Kutembelea Mradi wa ujenzi wa Reli ya Kasi (SGR) na kuahidi kushirikiana na Shirika la Reli Tanzania (TRC) kuweka mifumo bora ya kisasa ya Mawasiliano kwa usalama wa abiria na Ufanisi wa reli hiyo tarehe 16 Aprili 2019.2019
=
Je, una Maswali yoyote juu ya Sekta ya Mawasiliano?
Tuma Mrejesho na Malalamiko!
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imejidhatiti kutoa huduma bora kwa wateja na wadau wake wote.