Ulinzi wa Watoto Mtandaoni (COP) ni suala la kimataifa linalohitaji jitihada za pamoja, mwitikio wa kimataifa, ushirikiano wa kimataifa na usimamizi wa kitaifa ili kuwalinda watoto dhidi ya hatari na madhara yanayoweza kusababishwa na matumizi ya mtandao huku wakiwezeshwa kutumia fursa zilizopo kwenye mtandao.
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) inatambua umuhimu wa suala hili na imeanzisha mipango kadhaa inayojumuisha usimamizi wa kitaifa na kimataifa, kuwajengea uwezo, na rasilimali za mawasiliano ili kulinda watoto dhidi ya hatari na madhara yanayoweza kutokea.
Vidokezo vya usalama mtandaoni kwa watoto
- Advise to Parents/Guardians to Protect Children when using Social Networks
- Tips for Online Safety and Security to Children
Machapisho mengine ya ITU