1. UJUMBE WA MKURUGENZI MKUU WA MAMLAKA YA MAWASILIANO TANZANIA, DKT. JABIRI K. BAKARI KATIKA MAADHIMISHO YA MIAKA 45 YA SIKU YA UMOJA WA POSTA AFRIKA (PAPU DAY) TAREHE 18 JANUARI 2025
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imejidhatiti kutoa huduma bora kwa wateja na wadau wake wote.