Hili ni dawati la kitaalamu linalohudumia wateja wenye leseni za mawasiliano, wasio la leseni na watumiaji wa huduma mbalimbali za mawasiliano. Dawati pia hupokea maoni na ushauri kutoka kwa wateja au watumiaji wa huduma kupitia njia zifuatazo: -
- Wateja kufika moja kwa moja kwenye Ofisi ya Makao Makuu Dar es salaam, Ofisi ya TCRA Zanzibar na Ofisi za kanda;
- Mtandao; kupitia mfumo wa e-mrejesho
- USSD 15200#;
- Baruapepe zinazopokelewa kupitia dawatilahuduma@tcra.go.tz;
- Namba ya BURE ya simu 0800008272. (Saa 24)
- Barua (Weka link yenye ukurasa wa anwani ya TCRA)
- Majukwaa ya Mitandao ya Kijamii (kiunga kwenye Twitter, LinkedIn, Instagram, Facebook)