Mkataba wa Huduma kwa mteja wa TCRA
Mkataba wa huduma kwa Wateja unatuongoza kukupa huduma bora. Mkataba huu unakuonesha jinsi ya kutuma malalamiko, muda tunaotumia kushughulikia masuala ya watumiaji na jinsi ya kuwasiliana na kituo chetu cha huduma kwa wateja. Bofya hapa kufungua