Habari
Leseni zilizotolewa na TCRA Tarehe 22 na 23 Julai, 2021

TCRA inapenda kuwapongeza wadau wafuatao kwa kupata Leseni tarehe 22 na 23 Julai, 2021.
1. Jina la Mmiliki wa Leseni:Tanzania Education and Research Network (TERNET)
Aina ya Leseni: National Application Services
Tarehe ya Leseni Kutoka: 22 Julai, 2021
2. Jina la Mmiliki wa Leseni: Virtual Pay (TZ) Limited
Aina ya Leseni: National Application Services
Tarehe ya Leseni Kutoka: 23 Julai, 2021