Leseni zilizotolewa na TCRA Tarehe 26 Novemba, 2021

TCRA inapenda kuwapongeza wadau wafuatao kwa kupata Leseni tarehe 26 Novemba, 2021
1. Jina la Mmiliki wa Leseni: Minara Tanzania Limited
Aina ya Leseni: National Network Facilities
Tarehe ya Leseni Kutoka: 26th November, 2021
2. Jina la Mmiliki wa Leseni: Wia Company Limited
Aina ya Leseni: National Network Facilities
Tarehe ya Leseni Kutoka: 26th November, 2021