Leseni zilizotolewa na TCRA Tarehe 30 Julai na Tarehe 2 Agosti, 2021
TCRA inapenda kuwapongeza wadau wafuatao kwa kupata Leseni tarehe 30 Julai na 2 Agosti, 2021
1. Jina la Mmiliki wa Leseni: Elipa (TZ) Limited
Aina ya Leseni: National Application Services
Tarehe ya Leseni Kutoka: 30 Julai, 2021
2.Jina la Mmiliki wa Leseni: Viettel Ecommerce Limited
Aina ya Leseni: National Application Services
Tarehe ya Leseni Kutoka: 2 Agosti, 2021