Leseni zilizotolewa na TCRA Tarehe 3 na 5 Novemba, 2021

TCRA inapenda kuwapongeza wadau wafuatao kwa kupata Leseni tarehe 3 na 5 Novemba, 2021;
1. Jina la Mmiliki wa Leseni: Dodoma F.M Co. Limited (Dodoma TV)
Aina ya Leseni: District (Commercial Broadcasting Services Free to Air Television)
Tarehe ya Leseni Kutoka: 3 Novemba, 2021
2. Jina la Mmiliki wa Leseni: Azam Media Limited t/a ( Azam 3 HD)
Aina ya Leseni: National Subscription Content Services Television
Tarehe ya Leseni Kutoka: 5 Novemba, 2021
3. Jina la Mmiliki wa Leseni: Azam Media Limited t/a ( Azam 4 HD)
Aina ya Leseni: National Subscription Content Services Television
Tarehe ya Leseni Kutoka: 5 Novemba, 2021