Leseni zilizotolewa na TCRA Tarehe 6 Septemba, 2021

TCRA inapenda kuwapongeza wadau wafuatao kwa kupata Leseni tarehe 6 Septemba, 2021
1. Jina la Mmiliki wa Leseni: Mkulima Power House Limited (Shamba FM Radio)
Aina ya Leseni: Content Services (Commercial Broadcasting Services Free to Air Radio)
Tarehe ya Leseni Kutoka: 6 Septemba, 2021
2. Jina la Mmiliki wa Leseni: Smartx Limited
Aina ya Leseni: National Application Services Licence
Tarehe ya Leseni Kutoka: 6 Septemba, 2021
3. Jina la Mmiliki wa Leseni: Valley Pay Company Limited
Aina ya Leseni: National Application Services Licence
Tarehe ya Leseni Kutoka: 6 Septemba, 2021
4. Jina la Mmiliki wa Leseni: Onmobile Tanzania Telecom Limited
Aina ya Leseni: National Application Services Licence
Tarehe ya Leseni Kutoka: 6 Septemba, 2021