Leseni zilizotolewa na TCRA Kuanzia Mwezi Aprili hadi Mei 2021

TCRA inapenda kuwapongeza wadau wafuatao kwa kupata Leseni Mwezi Aprili na Mei 2021.
1. Jina la Mmiliki wa Leseni: Africa Swahili Media Limited (Dizzim Xtra)
Aina ya Leseni: National Content Services (Subscription Broadcasting - Television
Tarehe ya Leseni Kutoka: 30 Aprili, 2021
2. Jina la Mmiliki wa Leseni: Breakthrough Technologies Africa Limited
Aina ya Leseni: National Application Services
Tarehe ya Leseni Kutoka: 29 Aprili, 2021
3. Jina la Mmiliki wa Leseni: Axieva Africa Lab Limited (T),
Aina ya Leseni: National Application Services
Tarehe ya Leseni Kutoka: 29 Aprili, 2021
4. Jina la Mmiliki wa Leseni:Wakandi Tanzania Limited
Aina ya Leseni: National Application Services
Tarehe ya Leseni Kutoka: 7 Mei, 2021