Leseni zilizotolewa na TCRA Mwezi Mei 2021

TCRA inapenda kuwapongeza wadau wafuatao kwa kupata Leseni Mwezi Mei 2021.
1. Jina la Mmiliki wa Leseni: Simba Money Limited
Aina ya Leseni: National Application Services
Tarehe ya Leseni Kutoka: 21 Mei, 2021
2. Jina la Mmiliki wa Leseni: Cre8hub Limited
Aina ya Leseni: Regional Application Services
Tarehe ya Leseni Kutoka: 28 Mei, 2021
3. Jina la Mmiliki wa Leseni: Super Feo Enterprise Limited (Selous FM),
Aina ya Leseni: District Content Services (Commercial Broadcasting Services - Radio
Tarehe ya Leseni Kutoka: 31 Mei, 2021