Leseni zilizotolewa na TCRA Tarehe 28 Juni, 2021
TCRA inapenda kuwapongeza wadau wafuatao kwa kupata Leseni tarehe 28 Juni, 2021.
1. Jina la Mmiliki wa Leseni: Konnect Broadband Tanzania Limited
Aina ya Leseni: National Application Services
Tarehe ya Leseni Kutoka: 28th June, 2021
2. Jina la Mmiliki wa Leseni: Jonas Nelson Nyagawa T/A Upendo Travellers Coach
Aina ya Leseni: Inter-City Couriers Services
Tarehe ya Leseni Kutoka: 28th June, 2021