Leseni zilizotolewa na TCRA Tarehe 6 Juni, 2021

TCRA inapenda kuwapongeza wadau wafuatao kwa kupata Leseni tarehe 4 Juni, 2021;
1. Jina la Mmiliki wa Leseni: Lumen Group Limited (Christ Lumen Radio)
Aina ya Leseni: District Content Services (Commercial Broadcasting Services - Radio
Tarehe ya Leseni Kutoka: 4 Juni, 2021
2. Jina la Mmiliki wa Leseni: Connect Sixteen Technologies Company Limited
Aina ya Leseni: Regional Application Services
Tarehe ya Leseni Kutoka: 4 Juni, 2021
3. Jina la Mmiliki wa Leseni: Ateb Technologies Limited
Aina ya Leseni: Regional Application Services
Tarehe ya Leseni Kutoka: 4 Juni, 2021