Habari
Leseni zilizotolewa na TCRA Tarehe 8 na 9 Julai, 2021

TCRA inapenda kuwapongeza wadau wafuatao kwa kupata Leseni tarehe 8 na 9 Julai, 2021
1. Jina la Mmiliki wa Leseni: One Payment Tanzania Limited
Aina ya Leseni: National Application Services
Tarehe ya Leseni Kutoka: 8th July, 2021
2. Jina la Mmiliki wa Leseni: Mobishatra Tanzania Private Limited
Aina ya Leseni: National Application Services
Tarehe ya Leseni Kutoka: 9th July, 2021
3. Jina la Mmiliki wa Leseni: Pesapal Tanzania Limited
Aina ya Leseni: National Application Services
Tarehe ya Leseni Kutoka: 9th July, 2021
4. Jina la Mmiliki wa Leseni: Zaptech Limited
Aina ya Leseni: Regional Application Services
Tarehe ya Leseni Kutoka: 9th July, 2021
5. Jina la Mmiliki wa Leseni: Milan Cable Television Limited
Aina ya Leseni: Regional Application Services
Tarehe ya Leseni Kutoka: 9th July, 2021