Taarifa kwa Umma: Uamuzi Na.6 wa Gharama za Mwingiliano wa Mitandao ya Watoa Huduma za Mawasiliano ya Simu Katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Umetolewa Julai, 2023.
![Taarifa kwa Umma: Uamuzi Na.6 wa Gharama za Mwingiliano wa...](https://tcra.go.tz/uploads/news/7550ec0620fbdae53f3a5fd8a8b5908d.jpeg)
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imejidhatiti kutoa huduma bora kwa wateja na wadau wake wote.