Taarifa Kwa Umma: Kuongezwa kwa Muda wa Kutuma Maombi Mapya na Upandishaji Daraja Wa Leseni za Maudhui (Utangazaji wa Kibiashara – Redio) Kutoka Tarehe 12 Novemba 2022 mpaka Tarehe 21 Novemba 2022

Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imejidhatiti kutoa huduma bora kwa wateja na wadau wake wote.