Kikao Kazi cha Maafisa Habari, Mawasiliano na Uhusiano wa Serikali

Mgeni Rasmi Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Innocent Bashungwa, akikabidhi cheti cha Ushiriki kwa TCRA kilichopokelewa na Afisa Mawasiliano Mwandamizi wa TCRA Bi. Mabel Masasi kwenye Kikao Kazi cha Maafisa Habari, Mawasiliano na Uhusiano wa Serikali Kilichofanyika Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya (MUST) ambapo TCRA pia ni mmoja wa wadhamini wa kikao hicho.