JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

MAMLAKA YA MAWASILIANO TANZANIA

TAASISI YENYE VIWANGO VYA ISO 9001: 2015
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania ( TCRA) Dkt. Jabir Bakari Ameongoza Mkutano wa Majadiliano baina ya TCRA na Wahariri wa Vyombo vya Habari Nchini.
Maadhimisho ya Siku ya Usalama Mtandaoni Yaliyoandaliwa na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania ( TCRA) Yamefanyika Katika Ukumbi wa Makumbusho ya Taifa Jijini Dar Es Salaam: Jumla ya Wanafunzi 354 Kutoka Shule za Msingi, Sekondari na Vyuo Vikuu Wameshiriki.
Mkurugenzi wa Idara ya TEHAMA Kutoka Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Bi. Connie Francis Katika Nyakati Tofauti Kwenye Hafla Fupi ya Kukabidhi Vyeti vya Ushiriki kwa Washiriki 48 Waliofanikiwa Kufikia Hatua ya Fainali Katika Shindano La Tatu la Maswuala ya Usalama Mtandaoni "Cyberstars". Shindano hilo Limefanyika Jijini Dodoma Ambapo Washiriki 4 Wameibuka Washindi.
Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe. Dkt. Faustine Ndugulile (Mb) pamoja na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Innocent Bashungwa (Mb) wakiwa katika mkutano wa mapitio ya maboresho ya Kanuni za Maudhui ya Utangazaji na Leseni Uliofanyika Makao Makuu ya TCRA.
Mhe Waziri wa Mawasilinao na Teknolojia ya Habari na Mhe. Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo wazindua Mfumo ulioboreshwa wa kutoa leseni ujulikanao kama Mfumo wa Usimamizi wa Leseni (Licence Management System/LMS) Makao Makuu ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) tarehe 31/07/2021.
Mkutano wa Watoa Huduma za Mahudhui na Wadau Wengine Katika Kanda ya Kati ya TCRA, Dodoma 28 July 2021.
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania yashiriki katika shughuli za Mbio za Mwenge Maalum 2020/21 kwa kutoa elimu kwa wadau ikiwa ni ishara ya TCRA kuunga Mkono Kauli Mbiu isemayo "TEHAMA ni Msingi wa Taifa endelevu; itumike kwa usahihi na uwajibikaji"
Ziara ya Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Pauline Gekul kutembelea Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) tarehe 23 Julai 2021.
Mkutano wa pamoja baina ya Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari wa Tanzania Mhe. Dkt. Faustine Ndugulile (Mb) na Waziri wa Habari na TEHAMA wa Rwanda Mhe. Paula Ingabire kujadili ushirikiano katika kukuza TEHAMA. Mkutano huo umefanyika Makao Makuu ya TCRA tarehe 16 Julai 2021.
Ziara ya Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Exaud Kigahe (MB) alipotembelea banda la TCRA katika Maonesho ya 45 ya Kimataifa ya Biashara Sabasaba kuanzia tarehe 13 Julai 2021.
Wizara zakutana Kujadili Utekelezaji wa Kikokotoo cha Mirahaba kwa Wasanii na Mabadiliko ya Kanuni za Maudhui Mtandaoni tarehe 10 Julai 2021
Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania Dkt. Jabiri Bakari akabidhi rasmi majukumu yake kama Mwenyekiti wa EACO kwa Mwenyekiti Mpya ambaye ni Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka inayosimamia Mawasiliano Rwanda tarehe 9 Julai, 2021.
=
Je, una Maswali yoyote juu ya Sekta ya Mawasiliano?
Tuma Mrejesho na Malalamiko!

Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imejidhatiti kutoa huduma bora kwa wateja na wadau wake wote.

Tuma Mrejesho na Malalamiko!