TCRA

TCRA

Creating a Level Playing Field

Initializing...

Maswali Yanayoulizwa Mara kwa Mara

Pata majibu kwa maswali ya kawaida yanayohusu mada mbalimbali.

Serikali imeweka Sheria na Kamati ya Maudhui yenye jukumu la kufuatilia maudhui ya Utangazaji yakiwemo maudhui ya wenye leseni za maudhui mtandaoni.

Kamati ya Maudhui hubainisha makosa katika maudhui ya utangazaji na kuchukua hatua kwa mujibu wa sheria. Pia, maudhui yenye sura ya jinai hufuatiliwa na kupepelezwa na Jeshi la Polisi kupitia Kitengo cha Makosa ya Mtandao na kwa kutumia Sheria ya Makosa Mtandaoni. Jeshi la Polisi limekuwa likichukua hatua kwa watumiaji huduma za Mawasiliano wanaobainika kutumia isivyo huduma za Mawasiliano.